Andrew and Eunice together with their two children are currently serving on an AIM TIMO team in Tanzania. They are living among and making Christ known among the Wazigua people.

“Umishonari ni kazi inayomhusu kila mtu aliye mwamini Yesu Kristo. Hii ni kazi aliyotuagiza Bwana Mathayo 28:19. Ni muhimu sana kuhakikisha kila mtu aliyeipokea habari njema ya wokovu anaifikishakwa watu wengine ambao hawajaisikia iwe kwa njia ya yeye mwenyewe kwenda au kwa kuwaombea kwa uaminifu wamishonari au kwa kutoa mali zake kuwawezesha wanaowafikia watu ambao hawajasikia habari njema. Kutofanya hivyo ni kuwa mchoyo wa habari njema jambo ambalo ni dhambi mbele za Mungu 1Kor 9:6″…maana nimewekewa sharti tena ni ole wangu nisipoihubiri habari njema”. Je wewe unatimazaje utume huu”?